Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,533
- 4,319
Mara nyingi Unatuma CV tu mambo ya certificate attachment ni baada ya kuwa shortlistedHuko ni kugawa vyeti vyako pasi na kujua.
Amini km hujapata ajira mpk leo na una miaka 7 ulishaaply sehemu tofauti na unaufaulu mzuri.
Kuna watu hawajasoma na wanatumia vyeti vyako na ni untouchable.
hayo makaratasi ya vyeti unauhakika unayo weww peke yako?Mara nyingi Unatuma CV tu mambo ya certificate attachment ni baada ya kuwa shortlisted
Hongera zake.Kiuhalisia zipo nafasi zinazopostiwa mara kwa mara ila binafsi sijawahi kuitwahata mimi pia najiuliza hili. kuna mtu namfahamu aliwahi tafutwa na kampuni alikoapply kazi kupitia linkedIn. nadhani ni bahati tu.
Hiyo internship ulipata kupitia post za matangazo LinkedIn ? Au kulikuwa na namna nyingine?Katika career yangu sijawahi kupata kazi linkedin ila niliwahi kupata paid internship kwenye Kampuni kubwa ya ICT
Hii social network huwa wanapost mara nyingi nafasi mbalimbali za kazi pamoja na namna ya kutuma maombi ikiwa ni pamoja na "Easy Apply".Lakini cha kushangaza tangu nianze kutuma maombi sijawahi kuitwa, mpaka najiuliza huenda ni scams tu.
Labda niulize wenzangu vipi kuna yeyote aliyefanikiwa kupata kazi.
Linkedln ili upate kazi unatakiwa kuwa expart kweli kweli au unatakiwa na experience ya kutosha katika kazi husika unayoomba..., vile vile ile package ya premium ambayo unalipia ndio inaweza kukusaidia kupata kazi, platform yao ya bure utasubiri sanaHii social network huwa wanapost mara nyingi nafasi mbalimbali za kazi pamoja na namna ya kutuma maombi ikiwa ni pamoja na "Easy Apply".Lakini cha kushangaza tangu nianze kutuma maombi sijawahi kuitwa, mpaka najiuliza huenda ni scams tu.
Labda niulize wenzangu vipi kuna yeyote aliyefanikiwa kupata kazi kupitia jukwaa hili?
Huko ni kugawa vyeti vyako pasi na kujua.
Amini km hujapata ajira mpk leo na una miaka 7 ulishaaply sehemu tofauti na unaufaulu mzuri.
Kuna watu hawajasoma na wanatumia vyeti vyako na ni untouchable.
Just post za matangazo na pia niliwahi kupigiwa Call interview 3 nikapata secure jobs 2Hiyo internship ulipata kupitia post za matangazo LinkedIn ? Au kulikuwa na namna nyingine?