Kwa maelezo yako mwishoe utasema....
WEWE SI WEWE. . . .
Ndio ww huwezi kuwa ww?????
mimi ni mimi
Ww c ww acha ubishi
Ww c ww acha ubishi
Hili swali nilikua najiuliza sana kipindi nikiwa mdogo.Hasa nikikaa sehemu tulivu isiyo na kelele yoyote.Hadi nikawa najikuta najishangaa mwenyewe!
Lakini siku hizi kila nikijaribu nashindwa sijui kwanini!
wewe dogo hujui kuandika
wewe dogo hujui kuandika
Lkn umesoma na ukaelewa
sikuelewi unaandika nini
Kwa maelezo yako mwishoe utasema....
WEWE SI WEWE. . . .