Umeshalipia tofali la ubigwa?

Umeshalipia tofali la ubigwa?

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,958
Yanga sports club pamoja na kutwaa ubingwa wa 2024/25 lakini still club inakosa pesa ya kufanya usajili. Pamoja na kunywesha watu supu za ngamia na chapati na hamna ela niuzwazwa wa hali ya juu.

Hio supu leo inalipwa kwa kulipia tofari la ubigwa kiasi 24,000/=. Hio pesa waliovuruga yanga kunywesha watu supu bora wangefanyia usajili sasa wameona hela imekata tuombe hela za mashabiki 😁😁.

Haya changieni hizo hela yanahitajika matofari million 1 ivi kwa hesabu ya harakaharaka kma mkichangia ni billion 24, ama kweli wajinga ndo waliwao!!

Calculation
1,000,000 × 24,000 = 24,000,000,000/=
Hio hela yote ufanyie usajili weweeeee kwendraaa
 
Mangungu acha yako hela ya ngamia utamsajilia mchezaji gan?

Kwani pesa unatoa wewe! Tunatoa sisi Wanachama na mashabiki....Tuliza komwe mangungu
Yanga sports club pamoja na kutwaa ubingwa wa 2024/25 lakini still club inakosa pesa ya kufanya usajili. Pamoja na kunywesha watu supu za ngamia na chapati na hamna ela niuzwazwa wa hali ya juu.

Hio supu leo inalipwa kwa kulipia tofari la ubigwa kiasi 24,000/=. Hio pesa waliovuruga yanga kunywesha watu supu bora wangefanyia usajili sasa wameona hela imekata tuombe hela za mashabiki 😁😁.

Haya changieni hizo hela yanahitajika matofari million 1 ivi kwa hesabu ya harakaharaka kma mkichangia ni billion 24, ama kweli wajinga ndo waliwao!!

Calculation
1,000,000 × 24,000 = 24,000,000,000/=
Hio hela yote ufanyie usajili weweeeee kwendraaa
Kwani hizo pesa unatoa wewe au Sisi??? Pesa za tofari la Ubingwa tunatoa sisi wanachama na mashabiki wa Yanga wewe inakuhusu nini mangungu 🤣🤣🤣🤣🤣 tuliza komwe mangungu
 
Yanga sports club pamoja na kutwaa ubingwa wa 2024/25 lakini still club inakosa pesa ya kufanya usajili. Pamoja na kunywesha watu supu za ngamia na chapati na hamna ela niuzwazwa wa hali ya juu.

Hio supu leo inalipwa kwa kulipia tofari la ubigwa kiasi 24,000/=. Hio pesa waliovuruga yanga kunywesha watu supu bora wangefanyia usajili sasa wameona hela imekata tuombe hela za mashabiki 😁😁.

Haya changieni hizo hela yanahitajika matofari million 1 ivi kwa hesabu ya harakaharaka kma mkichangia ni billion 24, ama kweli wajinga ndo waliwao!!

Calculation
1,000,000 × 24,000 = 24,000,000,000/=
Hio hela yote ufanyie usajili weweeeee kwendraaa
Ulielewa kilichozungumzwa na kamwe??
 
Akili ndogo hizi
 
Ndio maana Mangungu anawaona kama kenge tu, kama hamna mnacho kichangia kwenye timu yenu mnatoa wapi nguvu za kudai wachezaji wazuri?
 
Tajiri kashaweka hela na nyie mwambie GSM auze magodoro atoe pesa za usajili
 
Timu imejaa wapenda sifa ile pesa nyingi zinaishia kwenye matukio ya kijinga tu hatimae mfuko umekauka mpira umerudishwa kwa wenye timu
 
Supu ilikuwa ni mbinu ya kuwaunganisha pamoja kama familia ya yanga

Michango inathibitisha kwamba yanga SC ni timu ya wananchi yaani ina milikiwa na wao, (ownership)

Kuendesha timu ya mpira siyo kama familia zipo gharama kubwa ili kujenga ama kuimarisha timu iwe ya ushindani

Good performance of a football club will depend on the competence of your professional football players and good sports management
 
Back
Top Bottom