Aisee, mi nikishapita na demu tukiwagana ndo imetoka hiyo, wanawake matoleo mapya kila siku yanatokaHawara hana talaka.
Kuna pisi moja naila nikiitaka muda wowote, kwa sababu ya uzembe wake mwenyewe unafanana na huo.
Alitaka kunibambikia mtoto miaka 10 iliyopita wakati bado nikiwa mwanafunzi wa chuo. Nikasanuka msala ukapita.
Miaka 4 mbele tukakutana, akajiliza nikamsemehe nikawa nakula tunda. Huyu demu ni pisi kali, mrefu, mweupe na yuko very bright kichwani. Nilitamani kuzaa naye kimkakati zaidi ili nipate "mbegu". Nikamwomba anizalie mtoto wa kweli sasa, ukiacha yule aliyetaka kunibambikia.
Ajabu huyu demu alikataa, akasema yeye hataki kuzaa mtoto mwingine bila ndoa kwa sababu anahisi sitamuoa kwa hiyo akija kuzaa mtoto wa 3 itakuwa kila mtoto na baba yake!!!!!
Anataka nimuoe ndio nimzalishe, nami nikagoma kuoa single maza bila kumpiga mimba kwanza atleast nipate nguvu ya kusema ana mtoto wangu. Tukaachana.
Akazaa mtoto mwingine na baba mwingine...........sasa anakuja anajiliza tena nimpende!!! Nikasema NO.
Nilikuomba unizalie ukagoma, basi mi na wewe hakuna ndoa, hapa ni kuzagamuana tu.
Ni mchepuko wangu mpaka leo, najipigia tu kimya kimya.
wanawake wengi wa sasa wanazalishwa hovyo tena na wanaume za watu kwa ajili yakutamani maisha rahis ya haraka,Kuna mmoja karibu juzi hapa baada ya miaka minne ya kunizingua karudi na mtoto juu analalamika wakati aliniacha mwenyewe.
Sasa mbona huyo haku muoa, au.ukimuoa akazaa huyo mtoto wa 3 haitakuawa kila mtoto ana baba yake?Hawara hana talaka.
Kuna pisi moja naila nikiitaka muda wowote, kwa sababu ya uzembe wake mwenyewe unafanana na huo.
Alitaka kunibambikia mtoto miaka 10 iliyopita wakati bado nikiwa mwanafunzi wa chuo. Nikasanuka msala ukapita.
Miaka 4 mbele tukakutana, akajiliza nikamsemehe nikawa nakula tunda. Huyu demu ni pisi kali, mrefu, mweupe na yuko very bright kichwani. Nilitamani kuzaa naye kimkakati zaidi ili nipate "mbegu". Nikamwomba anizalie mtoto wa kweli sasa, ukiacha yule aliyetaka kunibambikia.
Ajabu huyu demu alikataa, akasema yeye hataki kuzaa mtoto mwingine bila ndoa kwa sababu anahisi sitamuoa kwa hiyo akija kuzaa mtoto wa 3 itakuwa kila mtoto na baba yake!!!!!
Anataka nimuoe ndio nimzalishe, nami nikagoma kuoa single maza bila kumpiga mimba kwanza atleast nipate nguvu ya kusema ana mtoto wangu. Tukaachana.
Akazaa mtoto mwingine na baba mwingine...........sasa anakuja anajiliza tena nimpende!!! Nikasema NO.
Nilikuomba unizalie ukagoma, basi mi na wewe hakuna ndoa, hapa ni kuzagamuana tu.
Ni mchepuko wangu mpaka leo, najipigia tu kimya kimya.
Mpumbavu sana yule. Tulikaa kama mwaka hatujawasiliana. Siku amenitafuta katika stori stori siku za baadae akaniambia ana mimba na amehangaika kuitoa imegoma.....nikamuuliza kwanini aitoe? Akasema jamaa hampendi wala nini na pia ni wa dini nyingine so haoni future. Akajifungua, yupo yupo tu jamaa hawezi kumuoa yuleSasa mbona huyo haku muoa, au.ukimuoa akazaa huyo mtoto wa 3 haitakuawa kila mtoto ana baba yake?
Bro kuna fantasy......kuna wanawake unatamani umle tena na tenaAisee, mi nikishapita na demu tukiwagana ndo imetoka hiyo, wanawake matoleo mapya kila siku yanatoka