Hivi Ushirika yenye walimu wenye elimu ya kati inaweza kutoa Mwanasheria atakayeelewa kesi yoyote achilia mbali kumtetea yeyote kortini? Hapo hata upige msuli ni bila bila
Majanga! Nimekodoa macho weee sijafanikiwa. Option ya admision haipo tena!
Je, status ya mkopo bodi itakuwa vipi! Mjanja atililike hapa maana duh presha high