mkuu Chromium ngoja tuachane nae! NB; hiyo law yenyewe amehamia huko huko chuoni alipelekwa pale muccobs course flan ya marketing, so naona alioonga ili akasome hiyo law..!! Ushahd tafuta thread kama hii humu humu kwenye jukwaa la elimu selection za mwakajana 2012/2013 za tcu zilivotokaa uone, sema natumia simu now siwez ku attach evidence!

hujui hata kuandika!!, niondoke na taasisi yako ya usimamizi wa fedha
na haonekani kuwa na adabu. Ukweli ni kwamba watu wenye phd pale hawafiki watano labda wawe wameajiriwa usiku huu.
Sheria ndio kabisa. Majority ni tas wenye llb za ruaha na mzumbe. Assistant lecturers (llm) yeye anaamini ni madaktari.
Wawili watatu wanaotambulika kama profs wana masters degrees. Why? Hajui na ameridhika kutokujua. Tunaojua siri ya mtungi anatutusi.
Ya ngoswe mwachie ngoswe.
Mfa maji......., na mbaazi zikikosa maua......,ngoja waje waerevu wajudge nani kaandika vzur,hahahaha we kilaza kweli,kama umeishiwa c uwe mpole,ya nn kujidai mjuaj?
UNATAKA NINI SASA KUSEMA?
Sema weye,unataka kuambiwa nini?
hivi we umesoma wap? Hata hujui matumizi ya herufi,ona hyo " o" hapo kwenye muccobs,na hyo eeegh,ulikua unataka kuandika egg au,una hamu na mayai eeh,then unajua sehemu ya ku2mia qn mark wewe? Et,hebu nitajie masomo magumu ifm?? Yaan unalazimisha kuweka alama ya kuuliza sehemu isiyotakiwa,ulitakiwa kusema, "je ni masomo gani magumu ifm?" kajipange kijana,degree hakikufai kwa hali uliyonayo labda certificate.
Wewe umekuwa muajiri mpaka useme sipaji kazi! Dah hcho kiswahili chako tu mi hoi,kweli ujinga ni mzigo. ndo umeandika nini sasa hapo?!!
IFM AVERAGE NI 40%, NA NI TAASISI WALA SIO CHUO KIKUU?? , C ya ifm NI D/E YA MUCCoBS ??, B ya ifm ni C YA MUCCoBS? ? ,
MJINGA WEWEE SYSTEM YA TCU ILIYUMBA!! , MUCCoBS NILICHAGUA PSM NA LL,B FARASI WA KIKE WEWE
angalia umeona nakukosoa kwenye kuandika unaiga na wewe mbona huwi mbunifu mbuzi wewe? ?,
una lolote kilazaa tuu wewe unatokwa na mapovuu! System iliyumba wap ww ulipangiwa marketing na tcu baada ya machaguo yako yote nane kukosaa kutokana na competetion kulinganisha na ufaulu wako mdogo uliokuwa nao, by the way tcu kutokana na huruma/busara yao ndo wakakupangia lichuo la ushirikaa nb; hiyo law umeonga hela ili uhamie/kuisoma hukuchaguliwa law usidanganye et tcu iliyumba, iyumbe imegeuka antenaa!! Ingekuwa mwaka huu wetu sisi ulitakiwa ujaze 2nd round
mimi ni kipajii toka form 1 mpaka 6, halafu rudia tena kuisoma ile thread
cjakuuliza umesoma wap.! Mbona usem ww kipaji mpaka chuo kikuu? Acha kutokwa na povuu, kweli ww kilaza me mwenyewe mbona special nimesomaa!! By the way uspecial wako wote lichuo la ushirikaa panakufaaaa!!
mm cpo kutofautisha vyuo hapaa! Nipo kukurekebisha ww kilazaa unaeiponda ifm wakat ww mwenyewe upo chuo la ushirikinaa, aahaha sorry ni ushirikaa
sitakujibu tena. Kuna mengi usiyoyajua kama mwanafunzi. Ningekuelimisha kama ungeonyesha dalili za usomi. Wasomi hawatukani hovyo. Wasomi ni wajenzi wa hoja. Wasomi hawajisifii vyuo uchwara. Wasomi ni watulivu. Wasomi hawapalii ego kwa kuwakejeli wenzao. Wewe si mmoja wao. Ni kupoteza muda kujaribu kukugeuza.
Kila la heri.
c afadhal mi mbuzi nyama na maziwa yangu yatawafaidisha wafugaj,sasa we chura 2takupeleka wap,kama sio mton ukaoge maana u mchafu mwil wako mpaka roho na maneno yako,kjana kaogeee