Eliah Geofrey Kamwela
Senior Member
- Dec 30, 2018
- 185
- 511
Nimepanga malengo na kulipa kodi ya miezi sita sita ili ata baba mwenye nyumba akichukia asilete sababu ya kunitimua.Habari wakuu wa Jf. Nimeleta uzi huu tukumbushane tu jambo hili muhimu.
Malengo ni dira inayo kuongoza mambo ya kufanya na vipaumbele vyako vinavyo stahili kugharimu muda wako, fedha na akili.
Ni jambo la lazima kuwa na malengo yaliyo andikwa kuwa unataka kutimiza nini katika maeneo yote maishani: yaani kiroho, kiuchumi, kifamilia, kijamii nk.
Kuishi bila kuwa na mwongozo ni hatari, kwa kuwa unakuwa hujui umefanikisha nini na umefeli wapi! Tumia muda huu kama ulikuwa bado, kuainisha nini unataka kufanya mwaka 2019 na kuanza kuweka mkakati wa kuyatimiza.
Muwe na wakati mwema,
Hodiiii Jf.
Sijaandika ili unitajie malengo yako mkuu wangu, ila kukumbushana tu kwamba ni muhimu uwe nayo na kuyafanyia kazi. Malengo panga na haina haja kuyaanika public kwa sababu kinacho takiwa kuonekama huku ni matokeo!! Ni kama jengo tu, mjenzi anakuwa na Picha kamili ya jengo toka mwanzo na sie tutaona matokeo ya mjengo wake.Ungetuwekea mfano wa malengo yako ingekuwa vizuri zaidi
Nimepanga kukoment tu jukwaa la siasa na intaneshno folam tuonekane tuna akili
BwahaaaaaaaaaaNimepanga kukoment tu jukwaa la siasa na intaneshno folam tuonekane tuna akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akuwezeshe mkuu katika jina la Yesu, yakatimie1. Kubariki ndoa yangu
2. Kuboresha mahusiano yangu na Mungu
3. Kumalizia mjengo
4. Kupata kausafiri kidogo (gari)
Sent using Jamii Forums mobile app
My friend " wajua Mtu anapoleta mada au hora humu '' yatupasa " kufahamu kwamba yale ni mawazo yake kutokana na jinsi yeye anavyo weza kuyachambua au kuyatizama mambo "Nimepanga kukoment tu jukwaa la siasa na intaneshno folam tuonekane tuna akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha yaan jamani tujiunge jf kila mtu kivyake halaf eti mtu ajipangie wanaume nyie utafikiri mnatuwekea bando [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni njema sana mkuu. Usisahau kuanza na ulicho nacho kusaidia wengine ili tabia ijengeke mapemaNataka niwe na akili nyingi na pesa nyingi ili nisaidie watu wengi kadri niwezavyo.
Hili ndio lengo langu kuu 2019.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap ni kweli kabisa kila mtu aishi awezavyo humu sio darasani banaMy friend " wajua Mtu anapoleta mada au hora humu '' yatupasa " kufahamu kwamba yale ni mawazo yake kutokana na jinsi yeye anavyo weza kuyachambua au kuyatizama mambo "
So hoja yake inaweza kuwa na mashiko au la "
Na inaweza kuwa na mashiko kwa kuwagusa watu fulani yeye akawa anadhani ina mashiko ya kuigusa jamii ya watu wote wanaopatikana katika hiyo jamii
So ishi utakavyo", ilimradi iwe haumbugudhi mtu " wala hauvunji sharia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo " watu waliopo humu ndio hao hao tunaopatikana mitaani pia ... so kama huko mtaani kuna watu wanaoumizwa na efforts zako ..basi ushingae kukutana na hayo makando pia humu jf ...kwa sababu jf inawakilishwa na watu wale wale wenye tabia zile zile (nzuri/mbaya), katika jamii " ..Hahahaha yaan jamani tujiunge jf kila mtu kivyake halaf eti mtu ajipangie wanaume nyie utafikiri mnatuwekea bando [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua 5Yap ni kweli kabisa kila mtu aishi awezavyo humu sio darasani bana
Sent using Jamii Forums mobile app
No 3 ni muhimu xn ktk maisha ya kila mwanadamu!!1. Kubariki ndoa yangu
2. Kuboresha mahusiano yangu na Mungu
3. Kumalizia mjengo
4. Kupata kausafiri kidogo (gari)
Sent using Jamii Forums mobile app