UMEONA hiii.....???!!!!

Huwa nafanya mazoezi ya aina hiyo ninaporuka kutoka kwenye kiti kimoja kwenda kingine kwenye dining table yangu
 
kwachini kabisa ya hilo shimo kunaweza kuwa na maji, just kwa tahadhari
 
Akifanikiwa anajisifu akiporonyoka utasikia Mungu/yesu wangu lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…