Umeoa Msukuma?

Kajala Masanja
Jini kabula
Dayna Nyange
Vicky kamata
Upendo Peneza
Njooni mnaitwaaaa.
 
nijuacho ni wakarimu kweli (si rahisi aseme no ukimuomba k) cc Mama Sabrina
 
Ngoja nimtafute Msukuma Wangu wa Ukonga. Tatizo anaongea sana
 

Wanaonekana ni watu wakarimu sana
 
hao wasichana wa kisukuma waliosifiwa kwenye huu uzi wamehama nchi siku hizi au
 
Baadhi yao ni wababe na washirikina.

Ila misambwanda kweli Mungu kawajalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…