umemuona paka kwenye hii picha?

inaumiza macho kusaka huyo paka!!!lol....
can_you_spot_the_cat_640_01.jpg
 
Beach za wenzetu kero tupu! Huku kwetu nafasi ya kumwaga, wakati huko kwao hata kutandika mkeka haiwezekani. Kwetu mchanga mweupe na minazi kwa umbali wakati kwao ni tope! Kweli TZ tumebarikiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom