Umemeeee....!

JOSEDIZOZ

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
134
Reaction score
30
mambo gani haya?tangu asubuhi mpaka usiku huu umeme hakuna hapa mwanza.hv mnataka watu wale kwenu nyie tanesko.alafu mnadai hakuna mgao hiki ni nn?SHAME ON YOU.miaka hamsini ya uhuru tunahangaika na umeme wa uhakika.huu ni upuuzi.
 
Sie toka mchanunazingua halaf imagine pipo zna exams full kuhangaika! TAh NEh. Siko mnakeraaaaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Msaada kama kuna nchi yenye masharti rahisi ya kuhamia naomba maelekezo na mwongozo URGENT PLEASE
 
Msaada kama kuna nchi yenye masharti rahisi ya kuhamia naomba maelekezo na mwongozo URGENT PLEASE

Australia, Canada, Rwanda++-ni kupeta tu hilo ndo wazo zuri mdogo wangu
 
Kwa mujibu wa Mheshimiwa Sana, hakuna tofauti wala hasara ya kuwepo au kutokuwepo umeme, kwani miaka yote hiyo mnalia umeme lakini yeye anasema Uchumi unakuwa so umeme sio factor katika ukuaji wa uchumi wa bongo, huku Duniani sijaona kukatika kwa umeme na sababu yake ni kwamba iwapo utakatika kwa dakika kadhaa, hasara yake haitamithilika kwa vile nchi zinashikwa na "electronic systems" hivyo ukikatika hata kwa second 5, kila kitu kinasimama-Poleni bt changes lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…