D Dr Emma John JF-Expert Member May 9, 2013 820 194 Dec 4, 2013 #1 Wadau hili suala la mgao wa umeme umelikumbuka kwa dakika chache bunge. Hili limetokea muda saa 19:21 hivi.
Wadau hili suala la mgao wa umeme umelikumbuka kwa dakika chache bunge. Hili limetokea muda saa 19:21 hivi.
UFUNUO WA TANZANIA JF-Expert Member Apr 7, 2013 471 166 Dec 4, 2013 #2 Ni kawaida madhara ya ufisadi hayachagui nafasi, mahali au wadhifa. Popote ufisadi ufanyikapo hiyo dhambi lazima imle mtu.
Ni kawaida madhara ya ufisadi hayachagui nafasi, mahali au wadhifa. Popote ufisadi ufanyikapo hiyo dhambi lazima imle mtu.
TUNTEMEKE JF-Expert Member Jun 15, 2009 4,587 579 Dec 4, 2013 #4 Elizabeth Dominic said: Si mara ya kwanza Click to expand... Naona umekalia kitu cha moto,Pole dada ndio usichana huo
Elizabeth Dominic said: Si mara ya kwanza Click to expand... Naona umekalia kitu cha moto,Pole dada ndio usichana huo
chakii JF-Expert Member Sep 15, 2013 19,698 22,735 Dec 4, 2013 #5 hii dhambi ya ufisadi inaliangamiza taifa letu,..
Makete Kwetu JF-Expert Member Jan 8, 2012 531 165 Dec 4, 2013 #6 Jamani ile poll ya MM mboona kama imenyofolewa
ERIC JOSEPH JF-Expert Member Aug 10, 2011 567 55 Dec 4, 2013 #7 Inamaana vibatari hawaja nunua mbona pr muhongo aliagiza tujiandae kununua!
frema120 JF-Expert Member Jan 1, 2012 5,099 1,338 Dec 4, 2013 #8 TUNTEMEKE said: Naona umekalia kitu cha moto,Pole dada ndio usichana huo Click to expand... mnajitaidi kuitendea haki ID hii, dr slaa vip amemaliza mkutano kahama au?
TUNTEMEKE said: Naona umekalia kitu cha moto,Pole dada ndio usichana huo Click to expand... mnajitaidi kuitendea haki ID hii, dr slaa vip amemaliza mkutano kahama au?
frema120 JF-Expert Member Jan 1, 2012 5,099 1,338 Dec 4, 2013 #9 Makete Kwetu said: Jamani ile poll ya MM mboona kama imenyofolewa Click to expand... wamwona inakwenda kwa kasi sana kwenye kituve cha SAHIHI, wameelekea kahama na kigoma kutengeneza mabango fake na kuujumu mkutano wa dr slaa
Makete Kwetu said: Jamani ile poll ya MM mboona kama imenyofolewa Click to expand... wamwona inakwenda kwa kasi sana kwenye kituve cha SAHIHI, wameelekea kahama na kigoma kutengeneza mabango fake na kuujumu mkutano wa dr slaa