Mag3 Platinum Member Joined May 31, 2008 Posts 13,580 Reaction score 23,915 Oct 23, 2023 #1 Huku bandari, pale bashite, kulee genge limetulia, Umeme kukosa mteteaji ndio mpango wenyewe, Wateteaji wako bize kukimbizana na Bashite, Na wengine wako bize wakikosoa mikataba.
Huku bandari, pale bashite, kulee genge limetulia, Umeme kukosa mteteaji ndio mpango wenyewe, Wateteaji wako bize kukimbizana na Bashite, Na wengine wako bize wakikosoa mikataba.
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,571 Reaction score 12,208 Jan 14, 2024 #2 Ni shida!
Mag3 Platinum Member Joined May 31, 2008 Posts 13,580 Reaction score 23,915 Jan 15, 2024 Thread starter #3 Kwa Tanganyika umeme umekuwa anasa. Kwa vipofu wasioona mwanga ni anasa. Kwa sasa giza kwetu ni fahari. Eti wapo wanaolilia umeme...wa nini? Mbona mababu zetu waliishi bila shida? Hawakuwa na umeme. Watanganyika ni watu wa ajabu kweli kweli. Tunadai kuishi kivyetu hatutaki kusihi kivyao! Mbona tunalilia mwanga na jua lipo? Hakika kwa tunavyoishi ndani ya mchi hii. Heri kulala mchana na kutenda usiku. Vitendo vyetu hakika ni vya gizani.
Kwa Tanganyika umeme umekuwa anasa. Kwa vipofu wasioona mwanga ni anasa. Kwa sasa giza kwetu ni fahari. Eti wapo wanaolilia umeme...wa nini? Mbona mababu zetu waliishi bila shida? Hawakuwa na umeme. Watanganyika ni watu wa ajabu kweli kweli. Tunadai kuishi kivyetu hatutaki kusihi kivyao! Mbona tunalilia mwanga na jua lipo? Hakika kwa tunavyoishi ndani ya mchi hii. Heri kulala mchana na kutenda usiku. Vitendo vyetu hakika ni vya gizani.
shanature JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 1,956 Reaction score 1,834 Jan 15, 2024 #4 ushairi ama...