N neikia Member Joined Feb 20, 2014 Posts 25 Reaction score 5 Nov 3, 2014 #1 UKONGA toka jana saa nne asubuhi hadi sasa hatuna umeme ni zaidi ya saa 34.
MBEBA MAONO KAJA JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 365 Reaction score 195 Nov 3, 2014 #2 yaani ni shidaaaaa, tanesco mtujuze kulikoni.
Dengue JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 2,050 Reaction score 1,469 Nov 3, 2014 #3 Hii nchi hii halafu hamna hata taarifa kwa wananchi
Lady Ra JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 886 Reaction score 1,010 Nov 3, 2014 #4 neikia said: UKONGA toka jana saa nne asubuhi hadi sasa hatuna umeme ni zaidi ya saa 34. Click to expand... Jana saa 4 Mbona karibu hivyo!! Bagamoyo hawana umeme siku ya 5 sasa!!
neikia said: UKONGA toka jana saa nne asubuhi hadi sasa hatuna umeme ni zaidi ya saa 34. Click to expand... Jana saa 4 Mbona karibu hivyo!! Bagamoyo hawana umeme siku ya 5 sasa!!
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Nov 3, 2014 #5 Ha ha ha ha ha ha haaaaah, kumbe ni sehemu zote umeme ni tatizo