Samaki Singa
Senior Member
- Nov 20, 2016
- 191
- 195
USA kuna sehemu kunaitwa Mwenge kaka?Hata pande hizi za Mwenge haupo! Umekatika imekuwa masaa kadhaa sasa.
Toka saa 7.00 usiku sehemu kubwa ya Kinondoni kama sio Jiji zima la Dar halina umeme.Hatujui tatizo ni nn?
Mamlaka husika tuambieni kuna nn kimetokea?Tupo kwenye joto kali hakulaliki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel axee ata uku Rock City ulikatika mdaUmeme umekatiika inchi nzima