Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 540
- 2,226
Wakuu huku kibamba hakuna umeme kabisa vipi kipande icho mlipo wakuu mnaenjoy au maisha magumu..
Kote hadi kiluvya kibahaWakuu huku kibamba hakuna umeme kabisa vipi kipande icho mlipo wakuu mnaenjoy au maisha magumu..
ila sasa hv wamesharudsha wahuni hawaKinondoni shwaaaaa umeme umetutokaa.