Umeme kukatika Majengo tu Arusha ni sawa?

Umeme kukatika Majengo tu Arusha ni sawa?

maimbi

Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
40
Reaction score
9
Naomba kujua naona kama majengo kuna mgao wa zaid ya miezi mitatu na sehemu nyingine hamna mgao wa umeme je ni sawa jambo hili , Tanesco arusha kunashida gani na majengo ? Labda kama kuna mtaa mwingine wengine pia waseme
 
Back
Top Bottom