Habari ya Jioni.
Tumepata itilafu kwenye njia kuu "Transmission line" inayoleta umeme mkoa wa Arusha.
Tunaendelea kufuatilia tatizo ili umeme uweze kurejea.
Tunaomba wateja wetu muwe wavumilivu..
Maeneo yanayokosa umeme ni mkoa wote wa Arusha.
Imetolewa na Ofisi ya
Uhusiano na Huduma kwa Wateja
TANESCO ARUSHA
12/08/2021.