Umeme huoooo!

Tatizo la msingi ni lile lile la kukosa utawala wa kisheria. Ilitakiwa mikataba ifikishwe Bungeni ijadiliwe kabla ya kukubaliwa. Haingekubaliwa ikiwa katika hali ya kinyonyoji hivyo.

Maadam hali ndiyo hii, basi TANESCO iachwe mpaka ifilisike kabisa. Kisha tuanze upya.

Tunabakwa na hawa wawekezaji, na CCM inasimamia huo ubakaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…