Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,020
- 168,014
Katika tembea tembea hukoo kuna kitu/vitu tunajifunza kuhusu mambo mbalimbali. Binafsi nimefahamu mengi pamoja na baadhi ya madawa ya kiasili ya ukanda huo. Madawa yatokanayo na majani au miti fulani ambayo hujiotea tu sehemu. Dawa hizo nimeona zikitumiwa na kusaidia jamii hio. Nahata mimi kuna muda nilikua nikiumwa dawa hizo napewa nikinywa napona kabisa. Kuna vigonjwa vingine mtu ukiumwa watoa toa macho hata hujielewi unataka kwenda hospitali unaambiwa chukua hii fanya hivi vile unajikuta unapona. Kuna magonjwa mengine ya watoto unaambiwa ukiempeleka hospitali huyo mtoto akachomwa sindano atakufa.. Huo ugonjwa ni wa asili huo so utatibiwa kiasili asili tu hahaha. Magonjwa mengine ni ya mazingira tu ukifika sehemu ndo unaumwa ukirudi kwenu akaaa. Baadhi ya dawa nilozifahamu ni kama zifuatazo!
KARANDARUGO - hii ni dawa ya tumbo pia inatibu UTI hata iwe sugu vipi.
MWIGALA -hii ni ya mafua.. Unayabonda bonda au kuyatwanga kisha unakamua majimaji yake unayaingiza puani ndani kabisa ya Pua na reaction itaanza kuonekana hapohapo haichelewi hii ina kaukali kidogo ..
KITATERANTE -hii ni ya kikohozi unatwanga kisha unakamua maji unaweka kwenye kikombe kisha unakunywa nakesho utakua fresh kabisa kama kikohozi ni cha mda kidogo unashauriwa kutumia walau siku mbiltatu na utapona kabisa... Pia hii inaleta usingizi.. Kama unasumbuliwa na tatizo la
Kutosinzia kitaterante ni balaa ukiinywa hasa usiku huchukui dakika ushasinzia..
MSHANA -hii ni spesheli kwa wajawazito, zile kero kero vijimaradhi na usumbufu wa mimba hasa ikiwa bado ndogo mambo ya Kuchagua vyakula kwa mshana kwisha habari yake. .
MRONGE - (antibiotic) hii magonjwa mengi mengi tu inasaidia sana kisukari nk. Hii dawa watu wanaitafuta kwa udi na uvumba hii ni adimu mnooo. Ukijisikia uchovu uchovu au kujihisi kahoma pata mronge. Pia wazee wanashauriwa sana kunywa hii inaongeza nguvu kwa wazee( aged) , hii ni nzuri sana hata upatkanaji wake ni shida hii hupandwa rasmi na koo fulani maeneo ya nyumbani na kukuta imejiotea tu ni nadra sana hata kumfata mkaukuru au mkaire akuoneshe itabidi ujipange haswaaa mpaka umshawishi na mpaka akubali.. Ukienda kichwa kichwa mpaka umpe hela ndo akuoneshe nakama wewe ni mnyamahanga wafwaaa make hamtaelewana lugha kabisaa . .
MBIRIZI - dawa ya ngozi hasa kwa watoto wadogo kabisa ..hii Unaufikicha utatoa mapovu then unamwogeshea mtoto,
MALAYA -hii ni ya jipu hii inaivisha jipu dakika sifuri hii unafikicha then unaweka kwenye jicho la jipu baada ya muda tu jipu linaiva au kama lilikua ndo limeanza anza linakauka kabisa..
Kuna moja ya degedege nimesahau jina ila mchanganyiko wa majani yake nayakumbuka..hayo majani ni ya aina mbili.. Ukishayapata unayaanika juani yakauke kisha unatwanga kabisa kama unga Unga kisha unatoa unahifadhi sehemu nzuri. Unakua unachota ule Unga kidogo tu( kama vile wazee wanavyochota ugoro) unammusisha mtoto puani. Hii pia ina reaction ya papo hapo. Mtoto atashtuka kwa nguvu na kupiga chafya mfululizo.. Hivo anavopiga chafya ndo dawa inakua inaingia na kufanya kazi yake. Na vimaradhi vingine vingi vingi tu.
Wenyewe wanasema hizi dawa ni nzuri sana na hazina madhara kabisa nawao wamezitumia miaka nenda rudi. THOUGH MAUMIVU YAKIZIDI MUONE DAKTARI.
Nawewe share kitu chochote ulichojifunza toka katika jamii au mazingira fulani.