Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Habari;
Bila shaka wote tutakuwa tumejiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaokuja hivi karibuni. Kwani hakuna nyumba isiyokuwa na msingi kama ulisahau basi hakikisha unaenda leo.
Serikali yenyewe hata haitangazi kiivyooo kimya kimya ndio mwendo wao.