Comi JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 3,328 Reaction score 958 Jun 3, 2012 #1 Mapumziko ndio yako ukingoni, umejiandaaje na shughuli zako kesho mwanzo wa wiki? Je katika mipangilio yako ya mwaka huu umefikia hata nusu? Sababu leo hii tuko katikati ya mwaka,pamebakia miezi 5 na siku kadhaaa, tafakari na chukua hatua
Mapumziko ndio yako ukingoni, umejiandaaje na shughuli zako kesho mwanzo wa wiki? Je katika mipangilio yako ya mwaka huu umefikia hata nusu? Sababu leo hii tuko katikati ya mwaka,pamebakia miezi 5 na siku kadhaaa, tafakari na chukua hatua