Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
😷huu uzi huuNa annoint water/oil; tehe teheee
HahahhahNa annoint water/oil; tehe teheee
Sasa utashangaa utakaponikuta mie ndio muita majina ya wae
😂😂😂Naaminu hilo kbs.. yaan kina manengelo hapa na kuny9oshewa vidole ndo tutashine siku ya mwisho..tukaze mwendo😊😁
Kitabu kina sala nzuri Sana kile sema tu haya mafrekeche ya dunia ndo yanafanya tusisali sikuhiziZamani nilikuwa naogopa kukisoma kitabu cha mawaridi.
Pale kwenye mkate na divai.
Ila sa hv siogopi tena
Umeona eeee.Kitabu kina sala nzuri Sana kile sema tu haya mafrekeche ya dunia ndo yanafanya tusisali sikuhizi
Pale nyuma St Joseph? Ipo.Umeona eeee.
Ila mie naamini katika sala aisee.
Kuna siku nilisali kuomba jambo...nikaoteshwa kisha likatimia.
Jamani....sala kweli ni nusu ya kuongea na muumba.
Mawaridi ni kizuri sana.
Hivi Cathedral bookshop bado ipo?
Yeah....Pale nyuma St Joseph? Ipo.
😂😂😂 madame ww ukorofi ni asili yako khaYeah....
Mungu anisamehe.
Nimeiba sana vitabu pale wakati niko Forodhani primary.
Ila vilinifanya nimjue Mungu.
Japo nilikuja ungama baadaeee
Hahaaa hiyo tunaita dhambi takatifu. Ukiwa na misingi mizuri ya sala na ukajua jinsi ya kupractice huwezi feli maisha completely.Yeah....
Mungu anisamehe.
Nimeiba sana vitabu pale wakati niko Forodhani primary.
Ila vilinifanya nimjue Mungu.
Japo nilikuja ungama baadaeee
Sometime anaukorofi positive.[emoji23][emoji23][emoji23] madame ww ukorofi ni asili yako kha
Hahahah😂😂😂 madame ww ukorofi ni asili yako kha
Yeah...sometimes Mungu uhukumu kutokana na aina ya makosa.Hahaaa hiyo tunaita dhambi takatifu. Ukiwa na misingi mizuri ya sala na ukajua jinsi ya kupractice huwezi feli maisha completely.
Mwambie huyo....Sometime anaukorofi positive.
😂😂😂😂Hahahah
Afu ukitoka hapi unahamia Tahafif kuiba pen na penseli.
Ukikamatwa kesi mpaka kwa mwalimu mkuu Fadhili Saiwadi
Sure. Wewe unafkiri hata ile mifano ya Yesu aliyokuwa anaitoa jwa wanafunzi wake yote ni ya ukweli. Mingine ilikuwa sound kukazia neno...Yeah...sometimes Mungu uhukumu kutokana na aina ya makosa.
Ila kuna makosa mengine ni kupitia mafunzo ili umtukuze yeye.
Yes.Sure. Wewe unafkiri hata ile mifano ya Yesu aliyokuwa anaitoa kwa wanafunzi wake yote ni ya ukweli. Mingine ilikuwa sound kukazia neno...
Poa. Haya tuuwache uzi uendelee Mana mtoa uzi ametaka tukopi na kupesti huu uzi kwenye magrup mengine ili kupeleka ujumbe duniani kote. Tusije badili maana. Was nice to quote and be quoted by u. ChiazYes.
Mara nyingi tunatakiwa tutanue ubongo wetu ili kuweza kupambanua mambo kwa nyanja mbalimbali.
Na si kila linalopita mbele yetu huwa ni jema.
Na maisha ni kuishi kwa mifano...japo si mifano yote yapaswa kuigwa.
Chiaz....Poa. Haya tuuwache uzi uendelee Mana mtoa uzi ametaka tukopi na kupesti huu uzi kwenye magrup mengine ili kupeleka ujumbe duniani kote. Tusije badili maana. Was nice to quote and be quoted by u. Chiaz