Na rozali tuvae piaNa biblia pia tuisome sana sana
😊😊😊mimi hizo nilishindwa😊 na tasibihi mvaeNa rozali tuvae pia
Mawaridi unasoma?😊😊😊mimi hizo nilishindwa😊 na tasibihi mvae
😊😊wapi shogangu... mie majanga...Mawaridi unasoma?
Mie sio mvaa tasibihi....mie mvaa rozari na skapulali
cc Faiza foxy```
Kuna baba mmoja alikuwa analia,mtu mmoja akamuuliza kinachomliza: akasema: nilikuwa na mwanangu wa kiume nilimsomesha, nilitaka awe maarufu msomi. Nikamsomesha katika ngazi zifuatazo za masomo,
BECE,
WASSCE,
I.B,
B.A,
M.A,
Lakini?
kijana wangu akaugua gafla na daktari akasema atakufa na hawataweza kufanya lolote, anavuta punzi ya mwisho, kijana akamwambia baba yake amletee vyeti vyake vyote vya elimu
: kijana akasema hizo ndio degree zangu.
Lakini hukuniwezesha nisome"QURAN"
Sijui nitawezaje kuonyesha uso wangu kwa Allah nikiwa siwezi kusoma Quran
..............
Hakuna kati yetu atautuma ujumbe huu kwakuwa hauna mvuto,
Kama utathubu utume. .....
*TAFADHALI SOMA HII YOTE KABLA HUJATUMA: JAZAKALLAH 🙂*
[emoji419] Amka unaposikia adhana, kama unavyoamka unaposikia simu inaita.
[emoji419] Soma Qur'an , kama unavyosoma Vitabu vyako vingine na kuperuzi katika mitandao.
Muogope Allah, kama unavyoogopa kifo na maradhi🤲.
Kumbuka kifo, kama unavyokumbuka jina lako. Ni dakika ngapi unazomtumia kuswali
[emoji524]"alfajiri dk 4 hadi 6"
[emoji524]adhuhuri dk 6 hadi 8"
[emoji524]"alasiri dk 6 hadi 8"
[emoji524]"magharib dk 5 hadi 7"
[emoji524]"ishar" dk 7 hadi 10.
[emoji523]Jumla dk 28 hadi 39 kwa siku Kati ya masaa 24?[emoji523]
Hebu tufikirie tuna muda kwa ajili ya
Allah?
Asilimia 80% ya watu hawatatuma huu ujumbe, natumaini.
Tuma kwa watu wote ambao una anuani zao za mawasiliano🤲🤝[emoji106][emoji114]```
Basi usijali...mie nitakuwa mchochea kuni wako ili moto wako uzidi kuwaka.😊😊wapi shogangu... mie majanga...
Basi usijali...mie nitakuwa mchochea kuni wako ili moto wako uzidi kuwaka.
Shauri zako
Dah umenikumbusha mbaaali mawaridi ya sala na skapulari. Sala ya memorare iliwahi kunipa tuzo pahalaMawaridi unasoma?
Mie sio mvaa tasibihi....mie mvaa rozari na skapulali
😂😂yàan ww tutachocholeqna wote aiserBasi usijali...mie nitakuwa mchochea kuni wako ili moto wako uzidi kuwaka.
Shauri zako
Mungu akubariki😂😂Mie naamini ktk Biblia..hizo rozali mie hapana..na nnasomaga sana tu sema ni mkirsto dormant fulan😊 nipo kati baridi sijui vuguvugu..ila Mungu bado ananipenda
Dah umenikumbusha mbaaali mawaridi ya sala na skapulari. Sala ya memorare iliwahi kunipa tuzo pahala
Chagua moja kuwa Moto au baridi. Unafiki wa uvuguvugu hata sheitwani atakukataa[emoji23][emoji23]Mie naamini ktk Biblia..hizo rozali mie hapana..na nnasomaga sana tu sema ni mkirsto dormant fulan[emoji4] nipo kati baridi sijui vuguvugu..ila Mungu bado ananipenda
Zamani nilikuwa naogopa kukisoma kitabu cha mawaridi.Dah umenikumbusha mbaaali mawaridi ya sala na skapulari. Sala ya memorare iliwahi kunipa tuzo pahala
AmeenMungu akubariki
Na annoint water/oil; tehe teheeeNa rozali tuvae pia
Mungu ni mwema!Chagua moja kuwa Moto au baridi. Unafiki wa uvuguvugu hata sheitwani atakukataa
Sasa utashangaa utakaponikuta mie ndio muita majina ya waendao peponi na kuzimu.😂😂yàan ww tutachocholeqna wote aiser