Ni kweli nimeshuhudia marafiki zangu wakiachika kisa hao mama wakwe hasa! Ndio nataka kujua wasipojihusisha na maisha ya wanandoa hao wanapungukiwa nini?Nafasi ipo kubwa sana ndoa nyingi huvunjika kwa sababu ya Baba/mama wakwe vichefu chefu
Wewe utakuwa waaina gani, je nawewe utajihusisha na mahusiano ya binti/kijana wako au utakaa mbali hata kama hafanyi maamuzi sahihi katika uendeshaji wa treni yake ya mahusianoNi kweli nimeshuhudia marafiki zangu wakiachika kisa hao mama wakwe hasa! Ndio nataka kujua wasipojihusisha na maisha ya wanandoa hao wanapungukiwa nini?
Ukila tu mahali ya mkwe. Huna tena mamlaka juu ya mtoto wako wa kike.Kwa mtoto wangu wakiume sina shida ila wakike sijui nitakuwaje kwa mume wa binti yangu
Sasa utajuaje Binti yako bikra ? Hayo si makubaliano yake na mtombaaji wake ?Sitachukua mahari kama binti yangu sio bikira
Siwezi kuhalalisha kumpa kijana mali used
Nitakaa mbali aisee kazi yangu ni kuwasaidia na kuwasapot watakapokwama, nitasuluhisha migogoro kwa hekima bila upendeleo, especially kama mtoto wa kiume ni wa kwangu nitajitahidi kutomkandamiza mkewe..Wewe utakuwa waaina gani, je nawewe utajihusisha na mahusiano ya binti/kijana wako au utakaa mbali hata kama hafanyi maamuzi sahihi katika uendeshaji wa treni yake ya mahusiano
Labda atampima oil😂Sasa utajuaje Binti yako bikra ? Hayo si makubaliano yake na mtombaaji wake ?
Tatizo wanatoaga taarifa za uongo kwa wazazi wao ukute kosa la kwake analimanupulate na kukujaza upepo na chuki kwa mkweo na uhisi maumivu anayoyapata au aliyotendewa hapo utafanyajeNitakaa mbali aisee kazi yangu ni kuwasaidia na kuwasapot watakapokwama, nitasuluhisha migogoro kwa hekima bila upendeleo, especially kama mtoto wa kiume ni wa kwangu nitajitahidi kutomkandamiza mkewe..
Huyu ni baba wa ajabu kabisaaa aisee ,Labda atampima oil😂
Kwa kawaida kama unapenda mahusiano yako ya ndoa yadumu mkeo akikosea msemee kwao na yeye akusemee kwenu! Ila ukitaka kuharibu kila kitu peleka makosa ya mkeo kwenu! Utajenga chuki kiasi kwamba ata siku mmeelewana bado kwenu watakuwa na kinyongo! Sasa kama huyo atapeleka taarifa za uongo kwao tayari hapo ni mgogoro wa kinafsia unaanza kujengwa! Ata siku umempiga kofi tu wanaibua na ya tangu zamani!Tatizo wanatoaga taarifa za uongo kwa wazazi wao ukute kosa la kwake analimanupulate na kukujaza upepo na chuki kwa mkweo na uhisi maumivu anayoyapata au aliyotendewa hapo utafanyaje