Yaani thithiem imekuwa na tamaa ya madaraka imeamua kufuata siasa chafu kwa kuiga nchi kama Uganda,Rwanda,Congo etc na kuacha siasa swaafi zilizosimamisha TAIFA na zilizokuwa mfano wa kuigwa duniani.