Umeielewa vipi hii picha?

Hebu tusiwalaumu watu wa media, basi tulaumu watazamaji wenyewe. Wale wapo kwa ajili ya kusaka pesa kwa ajili ya familia zao na manufaa mengine, hivyo huangalia habari ipi itapata watazamaji wengi kwa faida yao.

Sasa hapo wengi wanapenda umbea, lazima waende na upande ambao upepo unaelekea
 
Reactions: CTX
Umbea haufatiliwi sana na sirikali......
 
Reactions: CTX
Nilichoelewa huyo Dada wa chini ni Mwanasiasa/Mwanaharakati maarufu na anaongelea jambo muhimu sana kwa mslahi ya nchi.
 
Sasa hizo kampuni za habari za wana CCM unafikiri Wataenda kwa wapinzani sio kwa huyu mwenyekiti
 
Ukiangalia kwa umakini;hwa wengine karibu wote ni online tvs,wambea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…