Umegundua nini hawa mabeberu BBC

View attachment 1694365

Hawa jamaa ni wazuri sana kukazania afrika lolote kwenye mapungufu.ila wao uwezi kusikia makosa kwao
Hivi ni lini mtaacha kulalamika nyie majitu? Dunia uwanja wa fujo, dunia tambara bovu unadhani hawa wahenga walikurupuka?? Zubaa mkeo jirani, bosi wako, rafikiyo anambeba...kama nchi una madini tele (mfano Congo) halafu umezubaa wajanja (akina Mr tall na rafiki yake kibabu) wanazoa madini.

Kama una gesi, sijui dhahabu halafu unakenua kenua tuu wajanja wanakuingiza mikataba feki... Kiufupi hapa duniani hakuna cha mjomba wala demu wa bure...
 
Bunge tumewaachia wenyewe nasikia mnaanza kukumbushia wapinzani walivyotoka bungeni miaka hiyo huku mkilalamika.

TBC, Channel Ten na TV zote za ndani zinawasifu ninyi tu, sasa naona mnataka hadi vyombo vya habari vya nje viimbe nyimbo zenu!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wazung bhanaaa kapig picha na mume wake?? au mm nina mach mabov ndug zangu
 
wanataka tuone hayo mambo ya kutumia dildo ni Mambo ya kawaida.NWO
 
BBC wapo kiitikadi Sana Kama na wao wapo kwenye orodha ya msajili wa vyama.
Mimi naifuatilia DW walau wapo katikati.
 
Wanataka kuonewa huruma,dunia hii sio sehem ya watu dhaifu hata siku moja,this is battle for survivor and only the stronger will rise and shine,ukiwa weak hakuna atakayekuonea huruma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…