Kuna kazi ya IT Officer II imetangazwa na Iringa Urban Water Supply and Sanitation Authority..wakati napitia responsibility nikakutana na hii sentensi..."To research, plan and develop computer operating system." Maana yake ni kwamba huyu mtu awe na uwezo wa kuunda OS kama Windows, au walikua na maana nyingine??
Naamini baadhi ya waandaaji wa haya matangazo hawana ujuzi na fani wanayotangaza, hapo labda alikua na maana na uwezo wa kudevelop application software japo hajaweka features za hyo software. OS sio kitu cha mchezo.

Hahahha unaeza kuta jamaa anatoa nafasi kwa watu na sisi tupate uwezo wa kutengeneza windows...... Ila mshaala wake bila shaka utakua unaendana na ule wa yule mdada anaelipwa bilion moja kwa siku uko ufalansa