Umeelewa nini kuhusu hii picha?

Tunaenda kuongozwa na raisi anayetegemea msaada wa mawazo toka either kwa hayati au kwa mmewe ambaye hana cheo chochote hivyo hatumwoni
 
Acheni uchochezi.

Eti chama kina mwangalia, tena huyo dogo atakuwa POLEPOLE,

Naye SSH ata tumia koti la JPM kukamilisha maendleo.

NCHI IKO SALAMA, MBELE TUNA SONGA PAMOJA
 
🤣 kwa tafsiri iliyonijia kichwani nikiisema basi kesho nipo kwenye vyombo vya habari vikinimulika mchochezi nikipelekwa gerezani..🤣

Mengine tumezee tu ila tz imepoteza baba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…