Kaka Umbwe ilikuwa miaka ya tisini mkuu enzi za wakuu wa Shule kina Tango,Msele,Shayo siku hiz hakuna kitu imebaki historia mkuu wangu kaka na jina mazingira yameshakufa madarasa yamegeuzwa mabweni mkuu wangu,walimu hakuna tena na si nzuri kama kipindi hicho nakushauri kama home wako vizuri utafute shule nzuri hapo mjini usome enzi za ufaulu kujisifia imekufa kaka now ni kutengeneza cheti,kama ni wakina Kayumba mkuu nenda kamanda kapige msuli tu huna ujanja ila kama home wako vizuri kiada si kushauri,imebaki jina utaenda pigwa na Baridi plus no walimu kaka mwisho form six 0.