Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Tangu tupate uhuru,hakuna chama chochote cha siasa kilichowahi kutawala tz,hata umaskini,rushwa,ufisadi,ujangili na utawala mbovu chanzo chake ni serikali ya CCM.
CCM wameamua kuwapumbaza watz kwa kuwafanya wajinga ili waendelee kuwanyonya,kuwakandamiza madamu hawajui haki zao.
Leo hii mtu wanaona watu waliojitambua na kujua haki zao wanawaita magaidi na wachochezi.Kila kukicha serikli ya CCM kupitia viongozi waandamizi wakiwemo mawaziri,wabunge na viongozi mbalimbali wamekuwa wakisema maandamano yanaleta vurugu,uvunjifu wa amani nk,lakini ikumbukwe kuwa maandamano ni haki ya kikatiba.
CCM wanatumia kila aina ya mbinu ili kuwafanya wananchi waendelee kuwa wajinga ili waendelee kuiba,kula rushwa,kufanya ujangili nk.
Ikumbukwe kuwa wakati mwingine NI VYEMA KUVUNJA SHERIA ILI KUPATA HAKI...HILI LIKO WAZI.
Hizi ni baadhi ya njia chafu zilizo na zinazotumiwa na CCM kuwapumbaza watz,udini,ugaidi,ukanda nk. Mbinu zao hizi chafu zimeshindwa baada ya wananchi kutambua kuwa hizi ni mbinu za kitoto kijinga na kipumbavu na za kipotoshaji.
WanaCCM walio wengi wameishiwa hoja na wamejikita zaidi kushambulia mtu mmoja mmoja akionekana anasema ukweli.
Kwa hoja za kipuuzi na kijinga kama hizi,CCM mjiandae kuikabidhi nchi chama cha upinzani.
Nasema hivyo kwa kuwa,mmehama kwenye mijadala ya kitaifa kwa ajili ya maendeleo mmehamia kwenye hoja mfilisi za kushambulia watu.
Mmeshindwa kutekeleza ilani ya uchaguzi ambayo ndio nyenzo kuu ya kuwanusuru mnaendekeza hoja za kipuuzi na kijinga nje na ndani ya nchi.
CCM mjiandae kisaikolojia kuondoka ikulu mwaka 2015.
NAWASILISHA