Umasikini nao ni homa

upele

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2010
Posts
364
Reaction score
31
:blah::decision:HONGERA SANA BABU KWA KUWEZA KUGUNDUA TIBA YA HOMA ZETU LAKINI SWALI LINAKUJA KWAMBA UMASIKINI NCHINI UPO TENA SANA JE HAKUNA TIBA AU MTABIBU WA KUGUNDUA TIBA MAANA HOMA HII IPO KWA ASILIMIA 98%
TULIANGALIE SANA NA HILI JE THAMANI YA PESA ILI KUFIKIA HUKO KWA BABU NI NYINGI HAMA KWELI INAKUJA PALE PALE KWAMBA MASIKINI ATHAMINIKI
cONQUEST-UMASIKINI NI HOMA ZAIDI YA NDUI:hand:
 
Upele, umasikini siyo ugonjwa. Huyo Babu akisema anaponya umasikini atakuwa ni tapeli. Umasikini ni kulinganisha hali ya mtu au sehemmu moja na hali nya mtu au sehemu nyingine. Kwa kiingereza unaweza kusema kuwa poverty is relative. Kwa Bill Gates, Reginal Mengi ni masikini. Lakini kwako na mimi Mengi ni tajiri mkubwa. Mkoa wa Dodoma ni masikini ukilinganishwa na Kilimanjaro. Lakini mkoa wa Kilimanjaro ni masikini ukilinganisha na mkoa wa nchi kama Ufaransa. Umasikini hautibiki kwa dawa bali kwa maarifa, juhudi, elimu, bidii, n.k.
 
Kweli. Bora babu alivyofanya jero jero. Angeongeza masifuri hata mawili shughuli ingekuwa nzito.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…