Umasikini kupindukia Tanzania

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
Huyu ni mama aliekosa hata sufulia ya kupikia ugari , sasa anatumia bati kupikia chakula hicho kama alivyonaswa na camera yetu uko kijiji cha mission kigoma
 
Are you ORIGINAL?...yes it can, take it from my words

Ccm Wanasema ukawa mnatudanya haviwezekani mid nimekubali kudanganywa nimeikataa ccm kwa mambo yake yote huyo alidanganywa na ccm maisha bora kila mtanzania
 
Mkuu hapo sio TZ punguza hasira
Mkuu ni Tanzania, huduma ya VHM- Voice of Hope Ministry inafanya kazi ya kuzifikia jamii zilizosahaulika kimaendeleo nchini Tanzania au zile ambazo bado ziko nyuma kimaendeleo na kifikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…