Dc.com
Member
- Nov 28, 2015
- 88
- 51
Imani yangu ni kuwa unaweza kuwa jinsi unataka kama utachukua hatua na kusonga mbele kwa imani.
Vijana wengi tunatamani tuwe n.a. Maisha mazuri hususani hali nzuri ya kifedha lakini hatuko tayari kuchukua hatua za kutusaidia.
Wasomi wengi tunaishia kuomba kazi kila siku hadi waajiri wanatudharau eti tumetoka vyuoni n.a. uelewa mdogo.
Naomba tufahamu kuwa hakuna atakayekusaidia kukupatia Maisha mazuri hivyo tuache kuilaumu serikali, mara sina elimu, mshahara mdogo n.k . Ni wajibu wako kuhakisha umepata Maisha mazuri kumbuka ukizembea itakula kwako(Utavuna ulichopanda).
Leo wengi tunalalamika hatuna mitaji ya kutekeleza mawazo ya biashara zetu lakini Naomba nikuhakishie swala sio mtaji bali makudi yetu ya dhati ya kutafuta mafanikio ndio sifuri.
Nitatoa mfano mmoja tu. Ukiaanza mradi wa Ufugaji kuku n.a. kuku mmoja(01) lakini ndoto yako ikawa kufuga kuku 10000(start small dream big) unaweza kuona mafanikio makubwa sana. Kuku mmoja unaweza mpata hata kwa rafiki yako kwa kumuomba akakupa na kuku mmoja anaweza zaa zaidi kuku 50 kwa mwaka. Uzuri wa kuku utawatunza kupitia mayai unayouza.
Ukiweka Malengo ya kufuga kwa miaka mitano nina uhakika utakuwa mbali n.a. utaifurahia nchi yako , wazazi wako n.a. wewe mwenyewe utajiona wa thamani kubwa.
Vijana tuamuke tuchukue hatua umasikini ni makusudi yako , utajiri ni Makusudi yako. Nelsoni Mandela (1999) "Umasikini ni sawa n.a. ubaguzi wa rangi husababishwa n.a. mwanadamu utaondodolewa n.a. mwanadamu"
Siku nyingine nitaongezea mengine mengi ...Karibuni wanajf kuongezea pia mawazo chanya kwa manufaa ya nchi yetu.