Katika pita pita zangu nilibahatika kuona tangazo linalotangaza chuo kikuu kimoja maarufu sana hapa nchini kwetu. Tunaweza kuchangia mapungufu yaliyomo kwenye attachment ambayo ni picha ya bango la utambulisho kilipochuo hicho. Na kupima umakini wa taasisi zetu za elimu ya juu hapa nchini.