Nilikuwa naangalia kwenye simu yangu nipate update ya Game ya Simba vs Yanga
Mara naona imeandikwa itachezwa @10:30 AM...imenisikitisha sana! It is a human error but it can also be a negligence
Nilikuwa naangalia kwenye simu yangu nipate update ya Game ya Simba vs Yanga
Mara naona imeandikwa itachezwa @10:30 AM...imenisikitisha sana! It is a human error but it can also be a negligence View attachment 1024045
Umetupia kingereza hapo lakini ajabu hujui kusoma saa. Wakati wewe ndio umekosa umakini. Hiyo row ya kwanza na mwisho ni mechi played na live. Hitu vidogo tu vinakutoa kamasi