Umafia wa CCM wafichuka

dr mihogo alisema lowassa hakuja na watu wa maana zaidi ya bodaboda...hi ni dharau sana kwani baodaboda si watu?
yaan mungu awaumbe watu leo dr.mihogo anaona hawana haki ya kuheshimiwa utu wao kisa wanaendesha bodaboda
 
Mtu kapewa kofia tu na kanga anasahau majanga yote aliyonayo hv nani kawarogaaaaaa
 
Nguvu ya ubwabwa ni balaa hivi kuna nini mbn hakuna tofauti na ugali
 
A luta Contiua.. Hapa ni mpaka kieleweke, Haturudi nyuma.
 
Mtu kapewa kofia tu na kanga anasahau majanga yote aliyonayo hv nani kawarogaaaaaa

kaka shida ni umaskini wa kichwani. Kule tanga wazungu walikuwa wanakuja na kuwapa wazee vioo vya kujiangalia, alafu wanachukua Almasi.

Iyo laana inaliangamiza taifa mpaka leo, kanga.kofia.chumvi.na elf2 zinawafanya watanzania baadhi kuishabikia ccm.

Hili ni janga la taifa, ndiyo maana lowassa ametoa kipaumbele cha kwanza. Elim.elim.elim.hapa ndio ccm ilipowekeza ujinga ndani ya watu ili kuwatawala.
 
bANGI TU ZINAWASUMBUA HAMNA KITU, CCM USHINDI ASUBUHI NA MAPEMA
 
Ha,ha,haaaa! wazee walikuwa wanachia almasi kwa viyoo! kweli elim,elim,elim ujinga ni mzigo kha! sasa hivi hata vitoto vya miaka miwili vinajua Tanzania inahitaji mabadiliko.
 

Hivi unaelewa nini maana ya umafia wewe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…