britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Kuwa nani sasaHivi Omar Ali Juma alisajiliwa na nani?!
Mhn!Ebu funguka zaidi bhana!Mi nakumbuka ile ya Kolimba tu. Nyingine ni ya "ungaunga" wa Chenge "joka lenye makengeza", aliyekuwa akiwanga kwenye ukumbi wa bunge akakamatwa(Alikutwa akinyunyiza ungaunga mle ndani usiku). Ule ungaunga ukapelekwa kwa mkemia mkuu ambaye alikuwa msukuma mwenzake. Wakasema ulikuwa unga wa mahindi.Nimekumbuka umafia haujaanza leo, waKati wa uongozi wa mzee fulani katika nchi moja ya kusadikika, walipanga mpango wa kummliza kiongozi mmoja maarufu,
Kwa kuwa alikuwa awe mgeni rasmi wakaweka sumu maalumu kwenye microphone atakayotumia yeye na ile sumu ilikuwa inaanza kufanya kazi baada ya masaa kadhaa ambayo mlengwa.ndo angeanza kuhutubia,
Kwa bahati mbaya akapata Dharula hakuenda kwenye sherehe ile,
Wakamwambia msaidizi wa pili ambaye ndo anafuata baada ya mkulu kwamba basi we kahutubie, ambao walimwambia hawakujua kilichokuwa kinaendelea, pia alijua mtu mmoja tu ambaye alianza kulia kabla hata jamaa hajaanza kuhutubia, ikabidi anyanyuke aende chooni akajifuta na kurudi, hii ni kabla hajaumia mguu,
R.I.P
View attachment 903931
Hii nimeikumbuka ya omari ali juma jamaniMhn!Ebu funguka zaidi bhana!Mi nakumbuka ile ya Kolimba tu. Nyingine ni ya "ungaunga" wa Chenge "joka lenye makengeza", aliyekuwa akiwanga kwenye ukumbi wa bunge akakamatwa. Ule ungaunga ukapelekwa kwa mkemia mkuu ambaye alikuwa msukuma mwenzake. Wakasema ulikuwa unga wa mahindi.
Halafu nani akaondoka?Nasikia target ilikuwa Kagame right??
Mkuu kufunguka sana so vema mkuu, kumbuka jarida la Mo halina mtu mpaka sasa unaweza ukashikishwa wewe kesi ya utekajiMhn!Ebu funguka zaidi bhana!Mi nakumbuka ile ya Kolimba tu. Nyingine ni ya "ungaunga" wa Chenge "joka lenye makengeza", aliyekuwa akiwanga kwenye ukumbi wa bunge akakamatwa. Ule ungaunga ukapelekwa kwa mkemia mkuu ambaye alikuwa msukuma mwenzake. Wakasema ulikuwa unga wa mahindi.
Pamoja na ushetani wote huo,Bado tu unaipenda CCM?Nimekumbuka umafia haujaanza leo, waKati wa uongozi wa mzee fulani katika nchi moja ya kusadikika, walipanga mpango wa kummliza kiongozi mmoja maarufu,
Kwa kuwa alikuwa awe mgeni rasmi wakaweka sumu maalumu kwenye microphone atakayotumia yeye na ile sumu ilikuwa inaanza kufanya kazi baada ya masaa kadhaa ambayo mlengwa.ndo angeanza kuhutubia,
Kwa bahati mbaya akapata Dharula hakuenda kwenye sherehe ile,
Wakamwambia msaidizi wa pili ambaye ndo anafuata baada ya mkulu kwamba basi we kahutubie, ambao walimwambia hawakujua kilichokuwa kinaendelea, pia alijua mtu mmoja tu ambaye alianza kulia kabla hata jamaa hajaanza kuhutubia, ikabidi anyanyuke aende chooni akajifuta na kurudi, hii ni kabla hajaumia mguu,
R.I.P
View attachment 903931
CCM siyo mbaya kama ambavyo CHADEMA so mbaya ila wanachama kama kina kubenea walopanga kumuua boni na wanachama wamafia wa CCM ndo wabayaPamoja na ushetani wote huo,Bado tu unaipenda CCM? wewe ni kizazi cha Lucifer mkuu...
Mi sijuiNasikia target ilikuwa Kagame right??
No!Nasikia target ilikuwa Kagame right??
we wasemaNakumbuka ilikua tarehe 04.07.2001 kama sijakosea ingawa nilikua mdogo lakini nilielewa
Mzee wa fact,Le mbebeez Le mobimba Le degree in Criminology and Psychology le baharia Le Mkitambi Le Msemaji wa Bashite Le forever young !Haja comment chochote kuhusu picha ya gari la mateka.
kwa hisani ya watu wasiojulikanaR. I. P Kolimba, kuna watu wameumizwa sana tangu uongozi wa JK, wakiwemo Marais wawili wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa muungano awamu ya tatu
Watu ni wengi sana, CCM ni Wauwaji.
Ni kweli mkuu,ila CCM yenu imechafuka zaidi, si shwari tena.CCM siyo mbaya kama ambavyo CHADEMA so mbaya ila wanachama kama kina kubenea walopanga kumuua boni na wanachama wamafia wa CCM ndo wabaya