Pazi na Jogoo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 331
- 496
Mkuu huo ni utamaduni wa mwafrika ... ndo mana ukiweza kuishi afrika hata motoni unaishi bila wasiwasi.. ndo mana mtu akiwa ni mgonjwa taabani watu huwa wanamkimbia hata ukiambiwa uchangie hela za matibabu watu hawatoi ila ukifa sasa watu kibao wanachanga... so ni utaratibu wa kiafrika
Kwani ww hujui wanavyosema ukitaka kutambua umuhimu wa mtu mpaka aondoke?
Haswaa tena tofauti kubwa sana ndo maana maisha ya muafrica ni shida tupu tangu akiwa hai na hata akifa bado anageuka kuwa mzimu wa kutatua shida za jamii inayomzunguka...sasa kwa wazungu utaiona wapi hioMkuu watu weupe wao wametosutishwa na sisi? Ndicho unajaribu kumaanisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ndio mfumo uliopo duniani we achana na Godzilla angalia wengine !!
Nimefuatilia nyuzi zako zote za humu JF hakuna hata mmoja unaozungumzia sanaa au wasanii zaidi ya ule wa amberruti kufaa kuigiza filamu za ngono.
Inshort na wewe ni walewale tu.
Acha unafiki, kwani Zilla kabla hajafa alikuwa hapewi sifa anazostahili?Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop Golden Mbunda maarufu Godzilla baada ya kufariki ndipo wengi watamfahamu na kutaja sifa zake.
Ni tabia ya 'kipuuzi' iliyozoeleka Mara mtu anapofariki ndipo tunakumbuka umuhimu na mchango wake katika nyanja inayomuhusu na wengine wana kwenda mbali na kuthubutu kupokea michango ya rambirambi kwa ajili ya manufaa yao binafsi, hii ni aibu isiyo na kifani!
Nimeona katika mitandao mbalimbali watu wame-publish video clip za interview na michano ya Godzilla wakiwa na maana ya kukumbuka, kutambua na kuthamini kazi na mchango wake katika muziki, na hii imetokea baada ya Kifo chake!
Hoja yangu ni kuwa kwa nini mambo Haya yasifanyike angali mtu akiwa hai, kwani kwa jinsi inavyofanyika sasa haiwezi kumnufaisha kwa jinsi yoyote,,,,,Tunaweza kujifunza!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupewa jina nayo ni sifa?????Acha unafiki, kwani Zilla kabla hajafa alikuwa hapewi sifa anazostahili?
Hilo jina la King Zilla a.k.a mfalme wa free style ukipenda muite rais wa Salasala alipewa kipindi yupo hai au marehemu?
Sent using Jamii Forums mobile app