Uliza, ujibiwe.......!!!

Mzigua_255

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2026
Posts
815
Reaction score
1,645
Hii ni thread maalum kwa jambo lolote ambalo hulijui.!

Kwenye thread hii utauliza wenye kujua jambo hilo watakujuza......,

(Mfano»

Je.? kwa nini wanaume ndo wanakufa halaka kuliko wanawake..?

Halafu mwenye ujuzi atalijibu n.k

Karibuni:
 
Kwanini ndege aina ya Cessna Grand caravan haziruki nyakati za usiku Hususani ukanda huu wa Afrika mashariki?
 
Je , schizophrenia ndio ugonjwa wa kutisha zaidi wa akili?
 
Yupi aliyekuwa mtawala katili kwenye British Monarchy?
 
Swali la mwisho je , member wa j.f wako salama kiasi gani dhidi ya State Surveillance?
 
Ni kitu gani kisichoonekana kinachounda 85% ya uzito wa universe's ambacho hatuwezi kukiona wala kukigundua?
 
Mbona majibu ya hatuoni, hebu mtoa mada onyesha mfano kwa kutoa majibu kwa maswali yaliyoulizwa hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…