Uliza swali lolote la umeme wa majumbani

Habari wanajamvi, nimejenga fremu 3, fremu mbili kati ya hizo nimeweka visoma umeme, (sub meter) aina ya VECCO, moja kati ya hizo mita inasoma umeme hata kama kwenye kile chumba hamna umeme unaotumika, mfano mchana kila kitu kinazimwa lakini ukija kusoma hiyo mita jioni unakuta imesogea kwa 0.2 as if humo ndani kuna umeme ulikuwa unatumika, swali langu kuna tatizo kwenye wiring ktk hiko chumba au hiyo sub meter itakuwa. Mbovu? Naomba usaidizi please.
Kuna leaking
 
Back
Top Bottom