Uliwezaje kuishi na mtu Mwenye roho mbaya

Habari .

Kwenye mazingira ya kazi ,mtaani kanisani Kuna mtu mmoja mwenye roho mbaya na roho ya husda uliwezaje kuishi naye na ukaweza kuvuka vigingi vingi..
Dawa Yao ni kuwa mpuuzi tu, utamuumiza sana nishawahi ishi na mtu wa hivyo
Wengi wao hawanaga exposure na ni empty minded.

Ni watu flani hv wazembe wazembe, yaani hawezi fanya jambo lake bila kuskumwa na akianzisha jambo halimalizi ni lazma aishie njiani.

We kuwa mpuuzi tu puuzia maneno kejeri na dhihaka zake halafu ya kwako ashuhudie yanaenda kimya kimya wallah ataanza kununa mwenyewe na kukuletea vita.
Na usimchukie atakupa mileage kubwa sana wakati yeye ameganda na husda zake.
Shot out Kwa Mussa na nduguyake wamenifunza vingi sana mbwa wale.
 
Una maoni mazuri ila bahati mbaya watu kama hao wanakuwaga ni machawa wa bos... Ukimpuuza unakuwa kama umempuuza bosi mwenyewe.
Kwa upande wangu watu kama hao nawapoteza kimyakimya iwe kwa ajali au kwa kuwauza
 
Habari .

Kwenye mazingira ya kazi ,mtaani kanisani Kuna mtu mmoja mwenye roho mbaya na roho ya husda uliwezaje kuishi naye na ukaweza kuvuka vigingi vingi..

Una maanisha mtu mchoyo au
 
Back
Top Bottom