snayper
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 302
- 217
- Thread starter
- #61
huwa zinaoza tenaMvumilivu hula mbivu..endelea kumvumilia.
Ukikuta zimeoza utajua mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
huwa zinaoza tenaMvumilivu hula mbivu..endelea kumvumilia.
Ukikuta zimeoza utajua mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mwamba unamwambia muhun ajiue! Hasa mbebe asipojali kujiua kwake jeMkuu act Kama unataka kujiua akigoma jua uhai wako hauna thamani hata kwa bikra yake danganyifu..
Mi wa3 naunga,yaani nipo njia panda ila huyu wangu kagoma mpaka kuja geto japo kupaona na kunisalimu tu,hataki dhambi, swali la msingi mara umvumilieeeee,af ukute kitu used unafanyejeNakumbuka shoo km hii ilishawai kuntokea acha tu hawa mbunye
Bila shaka umem admire tooDada wa kwenye avatar yako ana sura nzuri.
bila shaka hata wewe unamu admire
Mtoa mada, amini nakwambia huyo dem wako hana bikra na kuna mwanba anambandua na kumkunja anavyotaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zur kabisabikra imeongeza au kupunguza nin katika ndoa yenu?