Uliwezaje kuacha punyeto?

😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
 
Niache nimuachie nani? wakati kupata utelezi ni gharama. Bora nipige nyeto na sabuni, makamasi,nyuki, kitobo cha godoro,mafuta, kavu,mate,na mkate
 
Niliamua kuacha kwa kuweka malengo
Nikauza smartphone
Nikanunua kiswaswadu
Nikatafuta mpenzi
Nikawa bize na kazi kutafuta hela
Mpenzi akawa ananiomba hela sana
Nikaachana naye
Hela zangu nikanunua smartphone nyengine
Nikaingia jamii forums na kuona Uzi wa warembo worldwide
Uvumilivu ukanishinda
 
Ni ngumu sana kuacha huo uraibu kama haupo bize na mishemishe na una muda wa kuchezea.

Anza kujiangalia kwenye kioo wakati unafanya hicho kitendo utakuja kunishukuru.
 
Mkuu una heka heka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…