Yeah kutokuaminiwa....bora uniache nijue umeniacha ila siyo unaniaminisha upo nami afu huna imani nami....aisee....niache na mapungufu yangu tafuta mtakatifu.Hata ivo hatuishi daima na hakuna tutakachozikwa nachoππ½
Ngoja kwanza nicheke... Na ugaidi wangu huu nilie kisa mwanamke??
Haktakaa itokee. Mungu kaumba wanawake wengi ili isitokee mwanaume akaumia hata kidogo kisa mwanamke. Huyu akikuzingua hamia kwa yule. Songa mbele