Ulishawahi kukesha 'hewani' kwa ajili ya penzi jipya?

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,508
27,003
Bwana bwana!

Enzi za uhai wangu, longalonga time na tigo. Unatega alarm ikuamshe saa NNE usiku, full kujiachia unaambiwa ni bure baada ya dakika TATU. Mkichoka mnapumzika bila kukata simu, ikitokea imejikata au mtandao wanakata kila baada ya LISAA basi unamaindi kinyama!

Basi bwana, siku moja tu ninayoikumbuka. Tumeongea na kuchat sana mpaka asubuhi, unajua asubuhi wewe?

Enhee hiyo hiyo, bila kulala kabisa. Kwangu ilikuwa ni saa moja ambapo 'mtoto' alichofanya ni kuoga na kuja tupumzike wote baada ya mkesha.

Penzi jipya lina wazimu wake.

Ulishawahi kukesha?
 
Utoto bwana! Mtu mnaongea mnapanga mipango ya familia yenu! eti mi nataka tuwe na house girl...mwenzako anakwambia mi sitaki nataka house boy! Nataka watoto 2 yeye anasema 3..mnaongeaaa mada zikiisha mnapumuliana..kata ww kata ww bwanaa..upuuz mtupu, laiti ningelijua ningetumia muda huo namna ya kujifunza logarithim, labda ingenisaidia katika hisabati za maisha.
 
Nimekumbuka mbali ila umekosea kidogo ilikuwa ni baada ya dk 3 unaongea bure na kila baada ya saa inakata.

Kuna siku niliongea na mtoto Shamima, mtoto kutoka Mtwara mtoto msomali mama mwarabu kuanzia 4 mpaka saa 9.

Hiyo ilivunja record kwa upande wangu kuongea na simu masaa matano.
 
Utoto bwana! Mtu mnaongea mnapanga mipango ya familia yenu! eti mi nataka tuwe na house girl...mwenzako anakwambia mi sitaki nataka house boy! Nataka watoto 2 yy anasema 3..mnaongeaaa mada zikiisha mnapumuliana..kata ww kata ww bwanaa..upuuz mtupu,lait ningelijua ningetumia muda huo namna ya kujifunza logarithim,labda ingenisaidia katika hisabati za maisha.

Kata wewe, hmmm kata wewe!

Logarithm ingekusaidia nini we jamaa, maisha hayahitaji 'Four Figure'.
 
Nimekumbuka mbali ila umekosea kidogo ilikuwa ni baada ya dk 3 unaongea bure na kila baada ya saa inakata.

Kuna siku niliongea na mtoto shamima mtoto kutoka mtwara mtoto msomari mama mwarabu kuanzia 4 mpaka saa 9.

Hiyo ilivunja record kwa upande wangu kuongea na simu masaa matano.
Huyo Shamima hukumla....Tuongee ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utoto bwana! Mtu mnaongea mnapanga mipango ya familia yenu! eti mi nataka tuwe na house girl...mwenzako anakwambia mi sitaki nataka house boy! Nataka watoto 2 yeye anasema 3..mnaongeaaa mada zikiisha mnapumuliana..kata ww kata ww bwanaa..upuuz mtupu,lait ningelijua ningetumia muda huo namna ya kujifunza logarithim, labda ingenisaidia katika hisabati za maisha.
Kwaio boss mlikua mnapumuliana...
 
Mkuuu mie Ndoniko kwa stage ya kuulizan watoto au niache,age yangu 22
 
Back
Top Bottom