Ulishawahi kufanyia mapenzi kwenye gari?

Wazoefu ausioo
Jamani magari.... haya!! haya!! kwanza utajulikana kwa wapita njia kirahisi tu, kuwa humu garini ntu nafanywa tu! !! faster mandava wataizunguka gari au wanoko wa mtaa tu!! kwa sababu gari yeyote ndogo inatabia ya kunesa nesa watu wazima mnapo fanyana ndani!

kasoro scania one ne!!! au....labda mkuu, ulimaanisha zile gari za watoto za kitoy za waya zile? km haitoshi labda hilo gari lako ulifiche vichakani lisionekane!! lkn pia huko kichakani pia utatia shaka..... kwa nini unalificha huko? mtakamatwa bureeee! na wana kijiji!

asa mpaka lije kujulikana kuwa ni lako, na pale mlikwenda kuburudika tu!! utakuwa tayari umepoteza muda na hela sana!

kwanza huyo demu wako wata m-brand anashirikiana na wezi wa magari then wana singizia kufanyana!

pili ni hatari mnaweza kuchomwa moto! kwa kisingizio cha wizi wa gari au kuiba wake/mabinti za watu unawafanyia kwa gari kwenye mitaa usiyoijua!!!...... usirudie tena dogo unasikiaaaaaaaaa......km ulijaribu!! ni hatari!! .... wenye magari hatunaga tabia hiyo! msituchafue!

Nne nyie ndo mnatajirisha maga zeti! sana!! iko siku yako!
 
Acha uoga wewe yani mtu aache kufanya mambo yake aje aangalie mnafanya nn kwa gari?
Unaishi nkoani Nkuu? .... Chikilija bana!! tukwambie chichi ntonto wa njini!! yulee! padre aliyekamatwa Chuo kikuu, ulikuwa ni mneso wa gari wa kimya kimya! ndo ulivutia wapita njia!....unajua ilikuwaje .....

vilianza vitoto kushangaa gari linavo nesa lenyewe bana weee!!! vikajua ni catalogue ya magari mapya!! vikaanza kuitana weee! mara na watu wazima hao!!!......ohoooo!!! nakwambia Nkuu usijaribu, ukadhani watakupotezea!! ....... au wewe utaendelea tu!
 
Back
Top Bottom