figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
mimi hapa no comment_maake sielewi kabisaaaaaaaaa.:unakuta anajifanya busy for nothing.
:ukipisha nae ukamsalimia anajifanya kuuchubua.
:kama umezoeana nae ukamsalimia anakujibu halafu anaongezea nipe hela ninunue kitu fulani
:ukiongea nae kwa mala ya kwanza anajifanya matawi ya juu.
:ukimuulize kuhusu mpenzi wake anakuambia yupo single, ukikaa nae mwezi 1 simu yake unaanza kukuta msg za mapenzi.
Ukimuuliza anakujibu kwa hiyo unatakaje?
Ulishawaona viumbe wa namna hii?hata kwenu wapo?je tuishi nao vipi?
Mia
Mwingine ukimtongoza anaanza kukuambia alishawahi kuwa celebrities....ukimwacha hataki.
anasema unaniachaje wakati umeshanichezea na kuniharibu?ukiangalia kwa makini unakuta ulikutana nae kashaharibika.
:unakuta anajifanya busy for nothing.
:ukipisha nae ukamsalimia anajifanya kuuchubua.
:kama umezoeana nae ukamsalimia anakujibu halafu anaongezea nipe hela ninunue kitu fulani
:ukiongea nae kwa mala ya kwanza anajifanya matawi ya juu.
:ukimuulize kuhusu mpenzi wake anakuambia yupo single, ukikaa nae mwezi 1 simu yake unaanza kukuta msg za mapenzi.
ukimuuliza anakujibu kwa hiyo unatakaje?
ulishawaona viumbe wa namna hii?hata kwenu wapo?je tuishi nao vipi?
mia