Ulipima UKIMWI? Basi hukujua

Wajameni, nimeenda kufukua nikaona hii mada, hebu wakuu kama p53, visenti na wengine tusaidieni muendelezo wa hii hoja kwani nijuavyo mimi Cyflow ipo sana ukanda wetu huu africa

Acha uoga nenda kapime bana.
 
Acha uoga nenda kapime bana.

Mazee vipi, umekula jongoo na mijusi kama kifungua kinywa nini!!??? Nimeuliza mwendelezo wa hoja wewe unaleta vuvuzela, vipi bana!! Jumatatu leo.......

Wenye kuelewa swali wameelewa...
 
Nadhani itakuwa busara zaidi kuhamasisha watu waende kupimwa hata kama wewe mwenyewe hujapmiwa ama kwa sababu ya woga au kwa kukosa nafasi. Kuna kipindi (na tena inajirudia sasa) kulikuwa na mtawanyiko wa mawazo kwamba kondomu zimewekwa virusi ili kola mtumiaji apate. Majuzi tumesikia Zambia imepiga marufuku aina fulani ya kondomu (sio zote) ambazo hata hapa nchini zipo tele sokoni. Sasa hata kama ANGAZA ni dili la watu, kuna ubaya gani kufanya dili la kusaidia watu?

Kuweka uwongo uliokithiri katika kijiwe kunaweza kuathiri thamani ya kijiwe chenyewe. Ili kijiwe kiheshimike, budi kila mshiriki ajadili hoja zake kisayansi. Huyu mtoa hoja anaturudisha enzi ya mawe ambapo redio ilikaa kwa balozi wa nyumba kumi na hakukuwa na mbadala wa kuverify habari yoyote tuisikiayo kutoka redioni na au gazeti la serikali. Sasa hivi uwongo hutambuliwa haraka sana, dunia ni kijiji kiganjani.

Leka
 
Leka, mimi nadhani tusiendelee kupindisha hoja hii niliyokwenda kuifukunyua kule kwa mwaka jana ili tupate mwendelezo wake. Hii mada ina sehemu mbili, ya kwanza ni ubora wa vinasaba na ya pili ni jinsi tanzania tunavyofanya kupitisha mashine kwa ajili ya vipimo [refer cyflow approval process kama ilivyojadiliwa humu]

Ukisoma vizuri Tina amezungumzia namna waziri wetu wa afya alivyopindisha maneno kuhusu accrediation ya machine za kupimia ukimwi na specifically alirefer mawasiliano na jinsi walivyoamua kudeal with and without WHO.

Hii mada haihusu mtu kwenda kupima au kutopima pekee na mimi nilipost kufuatilia tumefikia wapi watanzania katika approval ya cyflow machines for CD4 testing

samahani kama sikueleweka
 
Oh please Tina! That is a conspiracy theory...come up with a better 1!
1. Most ppl r tested using rapid tests eg CAPILLUS (phasing out now), BIOLINE, DETERMINE. Samples are only sent 2 lab for testing by ELISA(?machine according 2 u) if results of 2 rapid tests are incongruent eg positive Bioline+ negative Determine
2. What the Minister meant by machine is the DNA-PCR machine used to determine viral load i.e amount of virus per microlitre of blood. This is not a primary test of HIV infection (@ least not yet in TZ) It is used for monitoring response to therapy. MoHSW recognizes the 2 probably because they r not there for research reasons as compared to those @KCMC & (?)Bugando
3. Nobody injects a client with the virus! It takes an average of 3-6 months for a person to seroconvert i.e to test positive, so don't paint VCT centres black, they r doing a VERY good job so far, the govt could never have done it alone!
NAWASILISHA

Asante sana kwa elimu hii. You are an Injinia!! Bravo. Mleta mada tafadhali usipotoshe umma. Tena unatakiwa kuomba msamaha. Why bringing such low ideas hapa?? Kwa nini usipate details za jambo ndipo upost?? Au basi weka katika tetesi maana huna uhakika!!! HIV/AIDS si kitu cha kuchukuliwa jokes, it is a serious phenomena worldwide, but more acute to thirdworld countries. Usiniulize kwa nini maana kuna several causes for this, and may be cultural ones more are more rampant!!
 
Oh please Tina! That is a conspiracy theory...come up with a better 1!
1. Most ppl r tested using rapid tests eg CAPILLUS (phasing out now), BIOLINE, DETERMINE. Samples are only sent 2 lab for testing by ELISA(?machine according 2 u) if results of 2 rapid tests are incongruent eg positive Bioline+ negative Determine
2. What the Minister meant by machine is the DNA-PCR machine used to determine viral load i.e amount of virus per microlitre of blood. This is not a primary test of HIV infection (@ least not yet in TZ) It is used for monitoring response to therapy. MoHSW recognizes the 2 probably because they r not there for research reasons as compared to those @KCMC & (?)Bugando
3. Nobody injects a client with the virus! It takes an average of 3-6 months for a person to seroconvert i.e to test positive, so don't paint VCT centres black, they r doing a VERY good job so far, the govt could never have done it alone!
NAWASILISHA

Big up injinia. Ila sielewe sijui kwanini often times when people enter politics their brains are filled with smoke. It is hard to believe that a professor came up with such unfounded allegations. Tuna kazi kwakweli. Hapo Prof. David ameflop!!!!!!
 
Hilo ndilo chaguo la JK na hajawahi kubadilishwa. Anatakiwa ku-play part ya maisha bora kwa kila mtanzania. Nasubiri kwa hamu speech yake ya utekelezaji wa ilani kesho 3:15 usiku (Theme Better life for every Tanzanian???!!!)
 
Big up injinia. Ila sielewe sijui kwanini often times when people enter politics their brains are filled with smoke. It is hard to believe that a professor came up with such unfounded allegations. Tuna kazi kwakweli. Hapo Prof. David ameflop!!!!!!

Naam!! sasa ndio mada inakuwa tamu.... ninapotaka mimi ni hapo tu!!!

Sasa wajameni, hayo matatizo ya hizo mashine bado yapo na yanaletwa na business competition, unfortunately, baadhi ya wenye dhamana hapa nchini wamepiga kambi na wafanyabiashara na kusababisha tupate shida ya kuendeleza mbele gurudumu la maendeleo

tujadili sasa....
 
Sure... HIV AIDS ni biashara ya watu! Inabidi tuwe makini sana ili tusijepotoshwa na hawa watu wenye masilahi binafsi.
tena biashara inayo ingiza mamilioni ya pesa kila mmoja amekimbilia huko ikitaka kuamini tokea mtu asema amegundua dawa ni wakwanza kuipinga na kuitolea uchambuzi as if wao ndo waliyo igundua,mungu tuepushie hili
 
This is somehow confusing and controversial, huko Agakhan some three years ago kuna mtu aliwafungulia mashtaka na ishu ilikuwa walimpima wakasema ana ngoma, mbaya zaidi ilikuwa ni siku chache to kabla ya ndoa. Hivyo mchumba akampiga chini.

Sasa leo tunapoambiwa eti huko ndio kwenye mashine genuine haingii akilini.

Test lazima iwe na error rate fulani, ni jambo la kawaida.
 
napata shaka na maneno haya yana ukweli! Kwamaana nyingine mnataka kutuambia kuwa walioko mikoa na majiji mengine nje ya DSM hawana huduma iliyo sahihi ya kupima HIV/AIDS? Mimi naona kama kuna mkagasiko na ukakasi kwenye taarifa yenyewe hata kama imetoka kwa mhe. waziri
 
napata shaka na maneno haya kama yana ukweli unaostahili
kwa maana nyingine ni kuwa nchi nzima ya Tanzania HIV/AIDS ikapimwe jijini DSM?
 
Back
Top Bottom